Nehemiah 9:21

21 aKwa miaka arobaini uliwatunza jangwani. Hawakukosa chochote, na nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.

Copyright information for SwhKC